|
Written by Web Master
|
|
Zinapatikana maduka ya ALPHATEL yaliyomo Dar-Es-Salaam, Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma, Moshi, Singida na Iringa. Bei imejumlishwa na VAT, ofa hadi kuisha kwa bidhaa.
Jipatie Motorola C113a kwa Tsh 35000/= na utazawadia sms 60 bure kutoka vodacom. Jipatie Nokia 1110i kwa Tsh 50000/= na utazawadia sms 60 bure na muda wa maongezi wa Tsh 1000/= kutoka vodacom Jipatie Vodafone aina ya ZTE 125 kwa Tsh 37000/= ikiwa na SIM Card na utazawadiwa SMS 60 za bure kutoka vodacom.
Jipatie Vodafone aina ya ZTE 225 kwa Tsh 47000/= ikiwa na SIM Card na utazawadiwa SMS 60 za bure kutoka vodacom.
|
|